Recent Posts

Kheri ya miaka 50 ya muungano

No comments
Kheri ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Utanzania wetu ni muungano wetu

Zamu hii ni John Mnyika

No comments
Zamu hii ni John Mnyika kuhusu mchakato wa katiba mpya, anasema watakwenda na ajenda ya kuhairisha mchakato watakapokutana na Rais Kikwete baadaye Septemba.

jukumu letu ni kujulisha umma yanayojiri

No comments
Mhe sanya na mhe baruani sisi jukumu letu ni kujulisha umma yanayojiri tu msiwe na wasiwasi na majimbo yenu

Kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

No comments
Kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, suala ya utandawazi limekuwa likilalamikiwa kuwa chanzo cha kufifisha maadili ya Tanzania hususani vijana wamekuwa wakiishi kwenye giza la uovu
Kutokana na kukua na kuenea kwa utandawazi kumeathiri suala zima la malezi na kupelekea watu hasa watoto na vijana kukosa mwelekeo bora wa kimaisha 
nini maoni yako juu ya mwenendo wa maadili ya Kitanzania na suala la maendeleo ya sayansi na Technolojia?

Mwanasheria mkuu wa serikali Fredrick Werema amejiuzulu

No comments
Mwanasheria mkuu wa serikali Fredrick Werema amejiuzulu leo wadhifa wake katika barua aliyomwandikia rais kikwete na kuthibitishwa na ikulu. 
Ni hatua iliyochelewa au ni wakati muafaka?