Kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

No comments
Kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, suala ya utandawazi limekuwa likilalamikiwa kuwa chanzo cha kufifisha maadili ya Tanzania hususani vijana wamekuwa wakiishi kwenye giza la uovu
Kutokana na kukua na kuenea kwa utandawazi kumeathiri suala zima la malezi na kupelekea watu hasa watoto na vijana kukosa mwelekeo bora wa kimaisha 
nini maoni yako juu ya mwenendo wa maadili ya Kitanzania na suala la maendeleo ya sayansi na Technolojia?

No comments :

Post a Comment